Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Same

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Sama ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro
Mahali pa Same (kijani kilichokolea) katika mkoa wa Kilimanjaro.

Wilaya ya Same ni wilaya mojawapo kati ya wilaya 7 za Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 269,807. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 300,303 [1].

Wilaya hii imepakana upande wa kazkazini na Wilaya ya Mwanga na nchi jirani ya Kenya, upande wa kusini na Mkoa wa Tanga na upande wa magharibi na Mkoa wa Manyara. Makao makuu yapo Same Mjini.

Upande wa kusini wa Milima ya Pare upo ndani ya wilaya pamoja na sehemu ya Hifadhi ya Mkomazi.[2]

Njia ya reli ya Usambara inapita wilayani.

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. Tanzania travel guide (tol. la 6). Lonely Planet. Juni 2015. uk. 148. ISBN 978-1742207797. Iliwekwa mnamo 12 Januari 2016.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Ramani Wilaya au manisipaa Wakazi (2022) Tarafa Kata Kijiji Eneo km²
Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro
Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro
Wilaya ya Hai 240,999 17 1,217
Wilaya ya Moshi Vijijini 535,803 32 1,300
Wilaya ya Moshi Mjini 331,733 21 63
Wilaya ya Mwanga 148,763 20 1,831
Wilaya ya Rombo 275,314 28 1,471
Wilaya ya Same 300,303 34 6,221
Wilaya ya Siha 139,019 17 1,217
Jumla 1,861,934 152 13,209
Wilaya ya Siha hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya wilaya ya Hai.
Marejeo: Mkoa wa Kilimanjaro
Kata za Wilaya ya Same - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania

Bangalala | Bendera | Bombo | Bwambo | Chome | Gavao Sawene | Hedaru | Kalemawe | Kihurio | Kirangare | Kisima | Kisiwani | Lugulu | Mabilioni | Makanya | Maore | Mhezi | Mpinji | Mshewa | Msindo | Mtii | Mwembe | Myamba | Ndungu | Njoro | Ruvu | Same Mjini | Stesheni | Suji | Tae | Vudee | Vuje | Vumari | Vunta

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Same kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.