Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Kitui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Kitui
Mahali paWilaya ya Kitui
Mahali paWilaya ya Kitui
Mahali pa Wilaya ya Kitui katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kitui
Eneo
 - Jumla 24,385.1 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 1,012,709

Wilaya ya Kitui ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Kitui.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kitui.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kitui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.