Wikipedia ya Kiajemi
Mandhari
Kisara | http://fa.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kiajemi |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kiajemi (Kiajemi: ویکیپدیا، دانشنامهٔ آزاد, Vikipedia, Daneshname-ye Azad maana yake Wikipedia, Kamusi Elezo Huru) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiajemi. Toleo la Wikipedia kwa lugha ya Kiajemi, lilianzishwa mnamo mwezi wa Januari katika mwaka wa 2004. Ilipita idadi ya makala 1,000 mnamo tar. 16 Desemba 2004 (26 Adhar 1383 Hsh) na lengo la makala 10,000 lilifikiwa kunako tar. 18 Februari 2006. Na kwa tar. 6 Mei 2009, imekuwa na makala 60,083.
Wikipedia ya Kiajemi ilianzishwa kwa juhudi za Roozbeh Pournader na wachangiaji.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tabesh, Sina (2004-05-14). "ویکیپدیا چیست؟" (kwa Persian). Cappucino Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-28. Iliwekwa mnamo 2007-07-09.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo] Wikipedia ya Kiajemi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiajemi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |