Nenda kwa yaliyomo

Thomas Jefferson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Jefferson


Muda wa Utawala
Machi 4, 1801 – Machi 4, 1809
Makamu wa Rais Aaron Burr (1801–1805)
George Clinton (1805–1809)
mtangulizi John Adams
aliyemfuata James Madison

tarehe ya kuzaliwa (1743-04-13)Aprili 13, 1743
Shadwell, Colony of Virginia, British America
tarehe ya kufa 4 Julai 1826 (umri 83)
Charlottesville, Virginia, Marekani
mahali pa kuzikiwa Monticello, Virginia, Marekani
chama Democratic-Republican
ndoa Martha Wayles (m. 1772–1782) «start: (1772-01)–end+1: (1782-09-07)»"Marriage: Martha Wayles to Thomas Jefferson" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Thomas_Jefferson)
watoto 11
mhitimu wa College of William & Mary (Bachelor of Arts)
signature

Thomas Jefferson (2 Aprili 17434 Julai 1826) alikuwa Rais wa tatu wa Marekani kuanzia mwaka wa 1801 hadi 1809.

Pia alikuwa mwandishi wa katiba ya Marekani aliyetumia nadharia ya John Locke na kupanga hoja za kupinga Marekani kuendelea kuwa chini ya mfumo wa utawala wa kifalme chini ya Uingereza.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Jefferson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.