Theluthi
Mandhari
Theluthi (kutoka neno la Kiarabu ثلث thulth; pia thuluthi) ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.
Inaweza kuandikwa kama au 1/3.
Kama desimali inakaribia 0.33333333333.
Inalingana na takriban 33.33%.
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33.33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33.33.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theluthi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |