Siedah Garrett
Mandhari
Siedah Garrett | |
---|---|
Amezaliwa | 24 Juni 1960 |
Asili yake | Los Angeles, California, Marekani |
Aina ya muziki | R&B |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo |
Miaka ya kazi | 1985-hadi leo |
Studio | Qwest Records, Omtown Records, FFRR Records |
Ame/Wameshirikiana na | Brand New Heavies, Michael Jackson |
Tovuti | siedah.com |
Siedah Garrett (amezaliwa tar. 24 Juni 1960 mjini Los Angeles, California) ni mshindi wa Tuzo ya Oscar na Grammy, akiwa kama mtunzi na mwimbaji bora muziki wa Kimarekani. Huenda akawa maarufu kwa ushirkiano wake baina ya yeye na Michael Jackson katika kibao cha mwaka wa 1987, I Just Can't Stop Loving You.
Discografia
[hariri | hariri chanzo]Albamu za kujitegemea
[hariri | hariri chanzo]- Kiss Of Life (Qwest, 1988)
- Siedah (Motown, 2004)
Albamu za Brand New Heavies
[hariri | hariri chanzo]- Shelter (FFRR, 1997)
Single
[hariri | hariri chanzo]- "Don't Look Any Further" (Dennis Edwards akimshirikisha Siedah Garrett) (Motown, 1984)
- "Curves" (Qwest, 1985)
- "Do You Want It Right Now" (Qwest, 1985)[1]
- "I Just Can't Stop Loving You" (Michael Jackson featuring Siedah Garrett) (Epic, 1987)
- "Todo Mi Amor Eres Tu" - Spanish Version of "I Just Can't Stop Loving You" (Michael Jackson featuring Siedah Garrett) (Epic, 1987)
- "Everchanging Times" (Qwest, 1987) - kutoka kwenye filamu ya Baby Boom
- "K.I.S.S.I.N.G." (Qwest, 1988)
- "Refuse To Be Loose" (Qwest, 1988)
- "I Don't Go For That" (Quincy Jones akimshirikisha Siedah Garrett) (Qwest / Warner Bros., 1989)
- "I'm Yours" (Quincy Jones akimshirikisha El DeBarge and Siedah Garrett) (Qwest / Warner Bros., 1989)
- "Listen Up" (Quincy Jones akimshirikisha Al B Sure, El DeBarge, James Ingram, Karyn White, Ray Charles, Siedah Garrett, Tevin Campbell na The Winans) (Qwest / Warner Bros., 1989)
- "The Places You Find Love" (Quincy Jones fakimshirikisha Chaka Kahn, Siedah Garrett na Tevin Campbell) (Qwest / Warner Bros., 1990)
- "Rain Down Love" (Freemasons akimshirikisha Siedah Garrett) (Loaded, 2007)
- "I Want Your Soul" (Armand Van Helden akimshirikisha Siedah Garrett) samples "Do You Want It Right Now" (SPG Records Canada, 2007)
- "Funky Bahia" (Sergio Mendes akimshirikisha Will.i.am & Siedah Garrett) (Concord Music Group, 2008)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fast Forward Soundtrack katika All Music Guide
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Siedah Garrett Official Website
- Siedah Garrett katika All Music Guide
- Siedah Garrett on Discogs
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Siedah Garrett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |