Mlozi
Mandhari
Mlozi (Prunus amygdalus) | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlozi uliotoa maua
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Mlozi ni mti mdogo wa jenasi Prunus (nusujenasi Amygdalus) katika familia Rosaceae. Matunda yake hayana jina, lakini lozi au badamu ni jina la kokwa ya tunda.
Asili ya mti huo ni Mashariki ya Kati na Asia ya Kusini, lakini siku hizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Maua
-
Tunda bichi
-
Tunda bivu
-
Lozi ndani na nje ya ganda lake
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mlozi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |