Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Tanganyika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Tanganyika
Mahali paMkoa wa Tanganyika
Mahali paMkoa wa Tanganyika
Mahali pa Mkoa wa Tanganyika katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 05°56′S 29°12′E / 5.933°S 29.200°E / -5.933; 29.200
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 6
Mji mkuu Kalemie
Serikali
 - Gouverneur
Eneo
 - Jumla 134,940 km²
Idadi ya wakazi (2015)
 - Wakazi kwa ujumla 3,062,000

Mkoa wa Tanganyika ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uko upande wa Mashariki wa nchi likipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,062,000.

Mji wake mkuu ni Kalemie.

Angalia Pia

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tanganyika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.