Missy Elliott
Missy Elliott | |
---|---|
Missy Elliott mnamo mwaka wa 2010
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Melissa Arnette Elliott |
Pia anajulikana kama | Missy "Misdemeanor" Elliott |
Amezaliwa | 1 Julai 1971 Portsmouth, Virginia, United States |
Aina ya muziki | Hip hop, R&B, hip hop soul, club music, dance, |
Kazi yake | Rapper, mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji, mnenguaji, mbunifu |
Ala | Masauti |
Miaka ya kazi | 1993–mpaka sasa |
Studio | The Goldmind, East West, Elektra, Atlantic, Violator |
Ame/Wameshirikiana na | Swing Mob, Timbaland, Nelly, Aaliyah, Ginuwine, Jodeci, Eve, Ciara, TLC, Total, Jennifer Hudson, Fantasia, Nicole Wray, Pussycat Dolls, Nelly Furtado, Paula Cole, Jazmine Sullivan, 702, Blaque, Adina Howard, Busta Rhymes, Keshia Chante, Ruslana, T-Pain, Janet Jackson, Tweet, Mariah Carey, Keyshia Cole |
Tovuti | missy-elliott.com |
Melissa Arnette Elliott (amezaliwa tar. 1 Julai 1971) ni msanii wa rekodi, mtayarishaji, mwigizaji na mwanachama wa zamani wa bendi ya Sista kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Missy "Misdemeanor" Elliott. Akiwa na mauzo ya zaidi ya milioni saba kwa Marekani pekee,[1] ni rapa wa kike pekee kuwa na albamu sita zilizotunukiwa platinamu na RIAA,[2] ikiwa pamoja na moja kuwa na platinamu maradufu, Under Construction. Mpaka sasa, rapa huyu ameuza zaidi ya rekodi milioni 16 kwa hesabu ya dunia nzima.
Elliott anafahamika kwa mfululizo wake wa vibao vikali na video mbalimbali za muziki ikiwa ni pamoja na "The Rain (Supa Dupa Fly)", "Hot Boyz", "Get Ur Freak On", "One Minute Man", "Work It", "Gossip Folks", "Pass That Dutch", "Lose Control" na "Ching-a-Ling". Kwa namna moja au nyingine, Elliott amefanya kirefu akiwa kama mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji kwa wasanii wengine, vyote akiwa peke yake na mtayarishaji wake na rafiki wa utotoni mwaka - Timbaland. Kazi za utunzi na utayarishaji za Elliott kwa wasanii kadhaa wengine ambao wakubwa ni pamoja na Aaliyah, Mya, Lil' Kim, Danity Kane, Mariah Carey, Keyshia Cole, Lil' Mo, Christina Aguilera, Tamia, Mary J. Blige, SWV, Beyoncé, Nelly, Ciara, TLC, Total, Jennifer Hudson, Fantasia, Nicole Wray, Pussycat Dolls, Nelly Furtado, Paula Cole, Jazmine Sullivan, 702, Blaque, Adina Howard, LeToya, Busta Rhymes, Ruslana, T-Pain, Janet Jackson, Tweet, Eve, Da Brat, Fabolous, Ginuwine, ODB, Kanye West, Static Major, Lil Wayne, Ghostface Killah, Nas, Jay-Z, Eminem, 50 Cent, Trina, Ms. Jade, Lady Luck, Omarion, Justin Timberlake, Angie Stone, Magoo, Monica, Faith Evans, Kelly Price, MC Lyte, Madonna, Brandy, Melanie Brown, Blu Cantrell, Notorious B.I.G., Diddy na Timbaland.
Maisha ya awali na kazi
[hariri | hariri chanzo]Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Diskografia
[hariri | hariri chanzo]
|
|
Filmografia
[hariri | hariri chanzo]Televisheni
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Uhusika | Kipengele |
---|---|---|---|
1997 | Family Matters | K.m jina lale | "Original Gangster Dawg" (msimu wa 9, kipengele cha 203) |
1998 | The Wayans Bros. | K.m jina lale | |
2005 | MTV Cribs | K.m jina lale | |
2005 | The Road to Stardom | K.m jina lale | |
2008 | Ego trip's Miss Rap Supreme | K.m jina lale | Msimu wa 1 |
America's Best Dance Crew | K.m jina lale, Guest Judge | "Missy Elliott "Shake Ya Pom Pom" Challenge" (msimu wa 2, kipengele cha 7) |
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Uhusika |
---|---|---|
2001 | Pootie Tang | Diva |
2003 | Honey | K.m jina lale |
2004 | Fade to Black | K.m jina lale |
Shark Tale | Uncredited voice | |
2005 | Just for Kicks | K.m jina lale |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Watson, Margeaux. "Rhymes and Reasons". Entertainment Weekly. Time Inc. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-27. Iliwekwa mnamo 2008-11-21.
- ↑ RIAA - Gold & Platinum search
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Kimpel, Dan (2006). How They Made It. Hal Leonard Corporation. ISBN 0634076426.