Mgomba (mmea)
Mandhari
Mgomba (Musa spp.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mgomba unaozaa ndizi
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Migomba ni mimea mikubwa sana (mara nyingi huitwa miti lakini si miti kweli) ya jenasi Musa katika familia Musaceae inayozaa ndizi.
Nchini Tanzania kilimo cha migomba, ambacho vile vile huitwa kilimo cha ndizi, hulimwa katika mikoa kama vile mkoa wa Kilimanjaro, mkoa wa Kagera, mkoa wa Mbeya na mkoa wa Morogoro[1].
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Maua ya M. acuminata
-
Mgomba aina ya mzuzu (plantain)
-
Mgomba wa M. sikkimensis
-
Ndizi za M. velutina
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mgomba (mmea) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |