Mchoro mdogo
Mandhari
Mchoro mdogo ni mchoro uliofanyika hasa katika vitabu vilivyoandikwa kwa mkono.
Kuanzia karne ya 16, hasa Uingereza na Ufaransa, matajiri walipenda kuchorwa namna hiyo hadi ilipobuniwa kamera katikati ya karne ya 19. Lengo lilikuwa kujitambulisha kwa watu wa mbali, kwa mfano kwa ajili ya ndoa, au kuwa na kumbukumbu ya mtu mpendwa wakati wa kuwa mbali naye.
Udogo wa mchoro ulifikia pengine mm 40 × 30.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Foskett, Daphne (1987). Miniatures: Dictionary and Guide. London: Antique Collectors' Club. ISBN 1-85149-063-9.
- Coombs, Katherine (1998). The Portrait Miniature in England. London: Victoria and Albert Museum. ISBN 1-85177-207-3.
- Elizabeth Lounsbery (Januari 15, 1917). American Miniature Painters. The Mentor.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Victoria and Albert Museum, miniatures gallery Archived 8 Septemba 2009 at the Wayback Machine.
- Artists and Ancestors - A Miniature Portrait Collection
- "The Origin of the Portrait Miniature". Paintings & Drawings. Victoria and Albert Museum. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-29. Iliwekwa mnamo 2007-08-21.
- Collecting and Researching Miniature Portraits Archived 5 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- Copy, Fake, and Decorative Miniatures Archived 22 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchoro mdogo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |