Nenda kwa yaliyomo

Kitcha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Mkate wa Kitcha
Picha ya Mkate wa Kitcha

Kitcha ni mkate mwembamba kiasi usiotiwa chachu, ni chakula cha asili cha Ethiopia na Eritrea.Hutengenezwa kwa unga wa ngano, maji na chumvi[1].Hupikwa kwenye sufuria ya moto na huakikisha mkate umeungua kwa kila upande.

Kitcha huchukua sura ya sufuria ambayo imepikwa( kama vile Pancake, lakini hazina uhusiano wowote).Huliwa mara nyingi na chakula kinachoitwa kitcha fit-fit.

  1. Mansfield Parkyns (1853). Life in Abyssinia: Being notes collected during three years' residence and travels in that ... (kwa English). Oxford University. Frank Cass.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)