Kibodo (Uhindi)
Mandhari
Kibodo (pia Kimeche) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wabodo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibodo nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 1,330,000. Pia kuna wasemaji 4380 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibodo iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibodo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibodo Archived 4 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibodo katika Glottolog
- lugha ya Kibodo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibodo (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |