Kianzwani
Mandhari
Kianzwani (pia Shindzwani) ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika kisiwa cha Anzwani nchini Komori. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinzwani kisiwani kwa Komori imehesabiwa kuwa watu 264,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Madagaska na 3000 kisiwani kwa Reunion. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinzwani iko katika kundi la G40, yaani iko karibu na Kiswahili.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kindzwani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kindzwani Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kindzwani katika Glottolog
- lugha ya Kindzwani kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianzwani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |