Josie Duffy Rice
Josie Duffy Rice (née Duffy) ni mwandishi wa habari nchini Marekani. Mnamo mwaka 2019 alitajwa kama rais wa The Appeal, shirika la uandishi habari linalolenga zaidi mfumo wa haki za wahalifu. Duffy Rice pia anaendesha jarida la Marekani kwa jina la Justice in America. Kazi zake zimetajwa mara kadhaa na majarida ya The New York Times, Nylon, na Harper's Bazaar.[1][2][3][4][5]
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Duffy Rice alizaliwa kama Josie Duffy, binti wakwanza wa Eugene na Norrene Duffy, alilelewa na kukulia jijini Atlanta.[6] Ana dada mmoja, kwa jina la Rosa Duffy ambaye no mmiliki wa duka la vitabu kwa jina la ''For keeps''.[7] Bini yake kwa jina la Josie Johnson, ni mwanaharakati wa haki za binadamu anayefanya shughuli hiyo akiwa jijiniMinneapolis.[8]
Duffy Rice alipata shahada yake ya kwanza katika Sayansi ya siasa kutoka Chuo Kikuu cha Columbia . [9] Alifanya kazi kama msaidizi mtendaji wa shirika la watetezi wa umma huko Bronx moja kwa moja baaada ya kuhitimu chuo kikuu, ambayo iliathiri uamuzi wake wa kuhudhuria shule ya sheria. [10] Alipokea digrii yake ya sheria maarufu kama ''Juris Doctor'' kutoka shyule ya sheria ya Harvard. [11] Duffy Rice alipendelea kuandika kazi za kisheria, na baada ya shule ya sheria alianza kufanya kazi katika nyanja za sera na uanaharakati.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Kazi yake amejikita zaidi katika haki za wahalifu kama vile uonevu wa askari polisi na dhamana kwa hela ya papo hapo.[12] Duffy Rice anapinga sana uwepo wa askari polisi pamoja na gharama kuendesha vitengo vya polisi kama njia mojawapo ya kufikia lemgo lake. Alishapata mualiko katika majadiliano maarufu katika kipindi cha '' The Daily show'' kujadili suala hili na kuhusu vyombo vinavyoelezea juu ya haki ya wahalifu kama ''Slate'', ''NPR'; na ''Lte Night with Seth Meyers''.[13][14][15][16]
Duffy Rice hapo awali alifanya kazi kama mwanamikakati katika Mradi wa Adhabu ya Haki. [17] Mnamo mwaka 2017 alijiunga na Ushirikiano wa Haki, inayoendasha shirika maarufu kwa jina la ''The Appeal'', tovuti ambayo inalenga sera, siasa, na haki ya wahalifu. [18] Duffy Rice aliteuliwa kama raisi wa shirika la ''The Appeal'' mnamo 2019. [19]
Duffy Rice anashirikiana na jarida la habari juu ya nchini Marekani akiwa na wageni waalikwa ambao ni Darnell Moore, Donovan X. Ramsey, Derecka Purnell, na Zak Cheney-Rice. [20] Kipindi kinashughulikia mada za haki ya wahalifu kama vile kiwango kikubwa cha wafungwa nchini Marekani. [21] [2]
Duffy Rice alikuwa mwandishi anayechangia toleo la Septemba 2020 la ''Vanity Fair'' iliyohaririwa na Ta-Nehisi Coates . [22] [23]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Duffy Rice ameolewa na mwandishi wa habari Zak Cheney-Rice [24] na wana mtoto wa kiume (Alizaliwa 2017) na binti (alizaliwa 2020). [18] [25] Waishi jijini Atlanta. [26]
Heshima na tuzo
[hariri | hariri chanzo]- 2020 - Fortune, 40 Under 40 [27]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sanchez, Chelsey. "Why Christian Cooper Refuses to Cooperate with Prosecution Against Amy Cooper". Harper's Bazaar. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 "When Jail Becomes Normal", 2020-06-03. (en-US)
- ↑ Iversen, Kristin. "What You Should Know About The "Missing" Immigrant Children". Nylon (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ "An Immune System: Code Switch". NPR.org (kwa Kiingereza). 2020-07-08. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
{{cite web}}
: CS1 maint: url-status (link) - ↑ Schwartz, Molly (2020-06-17). "De-funding the police is only the beginning. A radical re-imagining must come next". Mother Jones (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
{{cite web}}
: CS1 maint: url-status (link) - ↑ Wheeler, Candice. "Closer Look: 3 Generations of Family History; National Trends In Non-Traditional Education". WABE.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-15. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Wicker, Jewel (2018-11-16). "For Keeps, a shop for rare and classic black books, opens on Auburn Avenue". Atlanta Magazine (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ "A multi-generational plea for social justice activism from Josie Johnson and her granddaughter". Minnesota Public Radio. 2020-10-29. Iliwekwa mnamo 2020-12-23.
- ↑ MacKenzie, Blake. "Meet Josie Duffy Rice, Racial Justice Activist". www.tchabitat.org (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-12-23.
- ↑ Cammell, Kate (2020-04-07). "Works of Justice Podcast: Temperature Check with Josie Duffy Rice of The Appeal". PEN America (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ "Amid Push For Reforming Law Enforcement, Should Amy Cooper Have Been Charged?". NewsOne (kwa Kiingereza). 2020-07-08. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ Schwartz, Molly (2020-06-17). "De-funding the police is only the beginning. A radical re-imagining must come next". Mother Jones (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ "An Immune System: Code Switch". NPR.org (kwa Kiingereza). 2020-07-08. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ Shaffer, Claire (2020-06-10). "Trevor Noah Holds Roundtable Talk on What It Means to Defund the Police". Rolling Stone (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ "Late Night with Seth Meyers S7 E117 Hank Azaria, Josie Duffy Rice". NBC. 2020-06-17. Iliwekwa mnamo 2020-08-20.
- ↑ "Slate Political Gabfest | WNYC | New York Public Radio, Podcasts, Live Streaming Radio, News". WNYC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ McMurry, Evan (2018-05-30). "#WhereAreTheChildren showcases the power and the pitfalls of social media". ABC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ 18.0 18.1 Cammell, Kate (2020-04-07). "Works of Justice Podcast: Temperature Check with Josie Duffy Rice of The Appeal". PEN America (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.Cammell, Kate (2020-04-07).
- ↑ Inskeep, Steve. "NYPD Officer Involved In Eric Garner's Death Won't Face Federal Charges". NPR. NPR. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)Inskeep, Steve. - ↑ "Dear White People: Keep that same energy when the protests are over". TheGrio (kwa American English). 2020-06-09. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ Inskeep, Steve. "NYPD Officer Involved In Eric Garner's Death Won't Face Federal Charges". NPR. NPR. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Fair, Vanity. "Ta-Nehisi Coates to Guest-Edit the September Issue of Vanity Fair". Vanity Fair (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ Flynn, Kerry (2020-08-04). "Ta-Nehisi Coates is guest editing the September issue of Vanity Fair". CNN. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ Osnos, Corinne (2020-07-24). "A New York Minute With: Zak Cheney-Rice". New York Magazine (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
- ↑ "https://twitter.com/jduffyrice/status/1306016677189038080/photo/2". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-16.
{{cite web}}
: External link in
(help)|title=
- ↑ Schwartz, Molly (2020-06-17). "De-funding the police is only the beginning. A radical re-imagining must come next". Mother Jones (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.Schwartz, Molly (2020-06-17).
- ↑ "Josie Duffy Rice | 2020 40 under 40 in Government and Politics". Fortune (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-23.