Nenda kwa yaliyomo

James Clerk Maxwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Clerk Maxwell.

James Clerk Maxwell (Edinburgh, 13 Juni 18315 Novemba 1879) alikuwa mtaalamu wa hisabati na fizikia kutoka nchini Uskoti.

Anakumbukwa kwa sababu alifaulu kubuni nadharia iliyoeleza vizuri tabia za umeme, hasa sumakuumeme.

Maandiko

[hariri | hariri chanzo]
  • Maxwell, James Clerk, "On the Description of Oval Curves, and those having a plurality of Focus (geometry)|Foci". Proceedings of the Royal Society of Edinburgh, Vol. ii. 1846.
  • Maxwell, James Clerk, "Illustrations of the Dynamical Theory of Gases". 1860.
  • Maxwell, James Clerk, "On Physical Lines of Force". 1861.
  • Maxwell, James Clerk, "A Dynamical Theory of the Electromagnetic Field". 1865.
  • Maxwell, James Clerk, "On Governors Ilihifadhiwa 29 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine.".From the Proceedings of the Royal Society, No.100. 1868.
  • Maxwell, James Clerk, "Theory of Heat". 1871.
  • Maxwell, James Clerk, "A Treatise on Electricity and Magnetism". Clarendon Press, Oxford. 1873.
  • Maxwell, James Clerk, "Molecules Ilihifadhiwa 22 Julai 2007 kwenye Wayback Machine.". Nature, Septemba 1873.
  • Maxwell, James Clerk, "Matter and Motion", 1876.
  • Maxwell, James Clerk, "On the Results of Bernoulli's Theory of Gases as Applied to their Internal Friction, their Diffusion, and their Conductivity for Heat".
  • Maxwell, James Clerk, "Ether", Encyclopedia Britannica, Ninth Edition (1875-89).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: