Director Kenny
Kenned David Sanga (amezaliwa 22 Septemba, 1997), anajulikana kwa jina la kikazi kama "Director Kenny ", mwongozaji wa video za muziki kutoka Tanzania. Ukiacha uongozaji wa taswira mjongeo, Kenny pia ameonekana katika filamu akiwa kama mwigizaji na mwongozaji.[1][2][3]
Maisha na elimu
[hariri | hariri chanzo]Kenny alizaliwa Mbeya , Tanzania . Alipata elimu yake ya msingi na ya juu huko Kambarage Mbeya, Tanzania, na baadaye alisomea Uhandisi wa Umeme katika Kituo cha Mafunzo ya Ufundi cha Moravian. Alijiunga na kozi ya utayarishaji katika upigaji na uongozaji wa video mnamo 2014.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mwongozaji Kenny alipiga video yake ya kwanza ya kitaalamu ya muziki, kwa wimbo wa msanii wa Tanzania Lava Lava "DEDE", mwaka wa 2017.[4] Kisha akaongoza video ya "Nishachoka" ya Harmonize.[5] Kupitia kampuni ya Zoom Production[6] Mwongozaji Kenny amepiga na kuachia zaidi ya video 50 za hip hop, RnB, reggae - dancehall, bongo flava, na nyimbo za afro-pop tangu 2018. Anasifika kwa ubunifu wa kazi zake kwenye video za muziki maarufu na wasanii kama vile Roki, Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Zuchu, Harmonize na Tanasha Donna. Kenny aliongoza video ya muziki ya "Tetema" ya Rayvanny, ambayo ilitunukiwa "Video Bora ya Kiafrika" katika Tuzo za All Africa Music Awards za 2019.
Video alizoongoza
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Msanii | Ref. |
---|---|---|---|
2017 | "Dede" | Lava Lava) | [7] |
"Nishachoka" | Harmonize | [8] | |
2018 | "Kwangwaru" | Harmonize ft. Diamond Platnumz | [9] |
2019 | "The One" | Diamond Platnumz | [10] |
"Bado" | Vanessa Mdee ft. Rayvanny | [11][12] | |
"Tetema" | Rayvanny ft. Diamond Platnumz | [13] | |
"Kainama" | Harmonize ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | [14] | |
"Inama" | Diamond Platnumz ft. Fally Ipupa | [15] | |
"Kanyaga" | Diamond Platnumz | [16] | |
"Yope Remix" | Innoss'B ft. Diamond Platnumz | [17] | |
"Baba Lao" | Diamond Platnumz | [18] | |
"Sound" | Diamond Platnumz ft Teni | [19] | |
"Moyo" | Vanessa Mdee | [20] | |
2020 | "Gere" | Tanasha Donna ft. Diamond Platnumz | [21] |
"Jeje" | Diamond Platnumz | [22] | |
"Wana" | Zuchu | [23] | |
"Kwaru" | Zuchu | [24] | |
"Amaboko" | Rayvanny ft. Diamond Platnumz | [25] | |
"Litawachoma" | Zuchu ft. Diamond Platnumz | [26] | |
"Nobody" | Zuchu ft. Joeboy | [27] | |
"Number One" | Rayvanny ft. Zuchu | [28] | |
"Waah" | Diamond Platnumz ft. Koffi Olomide | ||
"Bado Sana" | Lava Lava ft. Diamond Platnumz | [29] | |
2021 | "Shusha" | Baba Levo ft. Diamond Platnumz | [30] |
"Sukari" | Zuchu | [31] | |
"Baikoko" | Mbosso ft. Diamond Platnumz | [32] | |
"Kelebe" | Rayvanny ft. Innoss'B | [33] | |
"Kiss Me" | Mbosso | [34] | |
"Basi tu" | Lava Lava ft. Mbosso | [35] | |
"Kamata" | Diamond Platnumz | [36] | |
"Mtaalam" | Mbosso | [37] | |
"Patati Patata" | Roki ft. Koffi Olomide, Rayvanny | [38] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://biggestkaka.co.ke/director-kenny-directs-diamond-platnumz-videos/
- ↑ https://globalpublishers.co.tz/kenny-mungu-amenikutanisha-na-mondi/
- ↑ https://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/
- ↑ https://bongo5.com/director-kenny-kuiwakilisha-tanzania-tuzo-za-afrimma-10-2021/
- ↑ https://topnaija.ng/video-diamond-platnumz-baba-lao/
- ↑ https://justvideolife.com/
- ↑ "LAVA LAVA -DEDE BEHIND THE SCENE PART 1". YouTube. 5 Novemba 2017. Tokeo mnamo 0:00–9:17. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Harmonize - Nishachoka (Official Music Video)". YouTube. 19 Oktoba 2017. Tokeo mnamo 0:00–3:36. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Diamond Platnumz And Harmonize's Video 'Kwangwaru' Hits 50million Youtube Views" (kwa Kiingereza). 26 Agosti 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Diamond Platnumz Shares 'The One' Music Video" (kwa Kiingereza). 23 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vanessa Mdee ft. Rayvanny – Bado [VIDEO]" (kwa Kiingereza). 17 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Watch Vanessa Mdee feature Rayvanny in Bado" (kwa Kiingereza). 18 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Diamond Platnumz and Rayvanny drop 'Tetema' anthem (VIDEO)" (kwa Kiingereza). 7 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kainama - Harmonize x Burna Boy x Diamond Platnumz". afrocade.com. 15 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Diamond Platnumz Ft. Fally Ipupa – Inama". olodomusic. 10 Juni 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-29. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "New Video: Diamond Platnumz – Kanyaga" (kwa Kiingereza). 26 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Diamond becomes first artiste in East Africa to clock 100 million views in 1 song (Video)" (kwa Kiingereza). 14 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "WATCH: DIAMOND PLATNUMZ RELEASES OFFICIAL VIDEO FOR 'BABA LAO'". guardian.ng. 8 Novemba 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-08. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Diamond Platnumz - Sound (feat. Teni)". thenetnaija.com. 28 Novemba 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "VIDEO: Vanessa Mdee – Moyo". naijavibes.com. 5 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Tanasha Donna – GERE Ft Diamond Platnumz [Audio + Video]". mod.ng. 19 Februari 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-08. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "INNA – Endless (Official video HD)". YouTube (kwa Kiitaliano). youtube.com. 28 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "VIDEO: Zuchu – Wana" (kwa Kiingereza). 9 Aprili 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-08. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "zuchu kwaru music video" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rayvanny - Amaboko (feat. Diamond Platnumz)" (kwa Kiingereza). 8 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "[Video] Zuchu ft. Diamond Platnumz – Litawachoma" (kwa Kiingereza). 28 Septemba 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-13. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Download: Zuchu feat Joeboy – Nobody (Directed by Director Kenny)" (kwa Kiingereza). 16 Oktoba 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-07. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "VIDEO: Rayvanny – Number One Ft. Zuchu" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-30. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "VIDEO: Lava Lava Ft. Diamond Platnumz – Bado Sana" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Baba Levo ft. Diamond Platnumz – "Shusha" Video" (kwa Kiingereza). Februari 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-03. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Download: Zuchu – Sukari (Directed by Director Kenny)" (kwa Kiingereza). 24 Februari 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-07. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Mbosso ft Diamond Platnumz Baikoko" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rayvanny Feat. Innoss'B: Kelebe". www.imdb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "VIDEO: Mbosso – Kiss Me". www.fromnaija.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-09. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Lava Lava Feat Mbosso: Basi tu". www.imdb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "VIDEO: Diamond Platnumz – "Kamata"". www.zambianmusicblog.co (kwa Kiingereza). 29 Juni 2021. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Mbosso - Mtaalam (Video)". www.trendybeatz.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Roki – Patati Patata ft. Koffi Olomide, Rayvanny". www.1.247naijabuzz.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-29. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Director Kenny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |