Nenda kwa yaliyomo

DJ Khaled

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
DJ Khaled
DJ Khaled mnamo 2012
DJ Khaled mnamo 2012
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii DJ Khaled
Nchi Marekani
Alizaliwa 1975
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake DJ
Mtayarishaji wa muziki
Mtangazaji wa redio
Miaka ya kazi 2006 - hadi leo
Kampuni Koch
Terror Squad, We The Best Music, Def Jam

Daverneius Jaimes (DJ) Khaled[1] (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Khaled[1]; amezaliwa New Orleans, Louisiana, 26 Novemba 1975) ni Mpalestina-Mmrekani wa kwanza kusikika kushirikiana na msanii Lil Wayne na Birdman kutoka katika single ya Way Of Life.[1] Huyu bwana ni DJ, mtayarishaji wa muziki na ni mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR.[2] Pia ni mwanachama wa kikundi cha muziki wa hip hop-Terror Squad, na amejisajili na Terror Squad Entertainment na Koch Records.[3]

Albamu za studio

[hariri | hariri chanzo]

Single zake

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Wimbo Nafasi iliyoshika[7] Albamu
U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Rap
2006 "Holla at Me" (akimsh. Lil Wayne, Paul Wall, Fat Joe, Rick Ross & Pitbull) 59 24 15 Listennn... the Album
"Grammy Family" (akimsh. Kanye West, Consequence & John Legend) 124
"Born-n-Raised" (akimsh. Trick Daddy, Pitbull & Rick Ross) 123
2007 "We Takin' Over" (akimsh. Akon, T.I., Rick Ross, Fat Joe, Birdman & Lil Wayne) 28 26 11 We the Best
"I'm So Hood" (akimsh. T-Pain, Trick Daddy, Plies & Rick Ross) 19 9 5
2008 "Out Here Grindin'" (akimsh. Akon, Young Jeezy, Rick Ross, Trick Daddy, Lil Boosie, Ace Hood & Plies)[8] 38 49 We Global

Matayarisho yake

[hariri | hariri chanzo]

Akiwa kama mtayarishaji, DJ Khaled anatumia jina la Beat Novacaine. Ametayarisha nyimbo zifuatazo:

Mwaka Jina Nafasi Notes
2017 Pitch Perfect 3 Himself
2019 Spies in Disguise Ears (voice)
2020 Bad Boys for Life Filming
TBA All-Star Weekend Post production
  1. 1.0 1.1 1.2 https://archive.today/20120530171946/www.billboard.com/bbcom/bio/index.jsp?pid=626664
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-31. Iliwekwa mnamo 2008-07-16.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-01. Iliwekwa mnamo 2008-07-16. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  4. Dj Khaled - Listennn: The Album. aCharts.us. Accessed 17 Septemba 2007.
  5. 5.0 5.1 Carter, Lauren (16 Februari 2008). DJ Khaled Preps New Disc For Summer '08 Archived 16 Juni 2008 at the Wayback Machine.. SOHH. Accessed 16 Februari 2008.
  6. Dj Khaled - We the Best. aCharts.us. Accessed 17 Septemba 2007.
  7. Artist Chart History. Billboard. Accessed 17 Septemba 2007.
  8. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-29. Iliwekwa mnamo 2008-07-16.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]