Castries
Mandhari
Castries na bandari yake | |
Utawala | Tarafa ya Castries ("Quarter of Castries") |
Historia | imeundwa 1650 |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 14°1′N Longitudo: 60°59′W |
Kimo | 15 m juu ya UB |
Eneo | ? km² |
Wakazi | - mji: 11,200 (2005) |
Msongamano wa watu | watu ? kwa km² |
Simu | +1246 (nchi yote) |
Mahali | |
Castries ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani ya Saint Lucia katika Bahari ya Karibi.
Mji uliundwa na Wafaransa mnamo 1650 na jina limetokana na tarafa ya Castries huko Ufaransa.
Lugha zinazogumzwa mjini ni hasa aina ya Kifaransa pamoja na Kiingereza ambacho ni lugha rasmi.
Mji unatembelewa na meli za kitalii.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Castries kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |