Benaouda Hadj Hacène Bachterzi
Mandhari
Benaouda Hadj Hacène Bachterzi | |
---|---|
Amezaliwa | Benaouda Hadj Hacène Bachterzi alizaliwa 1894. Oran |
Amekufa | alikufa 1958. |
Kazi yake | alikuwa mwanasiasa wa Algeria na mtangazaji. |
Benaouda Hadj Hacène Bachterzi, alizaliwa 1894-1958 alikuwa mwanasiasa wa Algeria na mtangazaji. [1] .Alianzisha na kusimamia Es-Sandjak Etandard na Le cri indigene , ambazo zilizingatia masilahi ya Waislamu wenye asili ya Algeria wakati wa utawala wa kikoloni wa kifaransa. Bachterzi pia alishiriki kikamilifu katika vyama vingi na alichaguliwa kama diwani wa Manispaa huko Oran akiwa na umri wa miaka ishirini na tano .[2]
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Bachterzi alizaliwa huko Oran katika moja ya familia kongwe za mabepari wa asili watu wa Kituruki. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Benkada, Saddek (1999), "Elites émergentes et mobilisation de masse L'affaire du cimetière musulman d'Oran (février-mai 1934)", Emeutes et mouvements sociaux au Maghreb: perspective comparée, KARTHALA Editions, uk. 80, ISBN 2865379981.
- ↑ 2.0 2.1 Rouina, Karim M.; Souiah, Mehdi (1999), "Journaux algériens d'Oran 1830-1962 Portrait d'une presse indigène « tolérée »", Algerian Scientific Journal Platform, 2 (5): 32.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benaouda Hadj Hacène Bachterzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |