Arkanjelo Tadini
Mandhari
Arcangelo Tadini (Verolanuova, Brescia, 12 Oktoba 1846 - Botticino Sera, 20 Mei 1912) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 3 Oktoba 1999, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[1].
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Baada ya upadrisho alioupata mwaka 1870 alishughulikia matatizo na haki vya wafanyakazi, na hatimaye alianzisha shirika la Masista Wafanyakazi wa Nyumba Takatifu ya Nazareti ambao wawajibike kwa ajili ya haki katika jamii[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website of the Suore Operaie
- Basilica di Verolanuova page in honor of the Saint
- Hagiogragphy Circle
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |