Ama Ata Aidoo
Mandhari
Ama Ata Aidoo (née Christina Ama Aidoo; amezaliwa 23 Machi 1942) ni mwandishi, mshairi, mtunzi wa tamthilia na msomi wa Ghana.[1]
Alikuwa Waziri wa Elimu chini ya utawala wa Jerry Rawlings. Mnamo mwaka 2000, alianzisha Mbaasem Foundation ili kukuza na kuunga mkono kazi ya waandishi wanawake wa Kiafrika. [2[2][3]
marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ama Ata Aidoo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |