Adolphe Adam
Mandhari
Adolphe Adam (24 Julai 1803 – 3 Mei 1856) alikuwa mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Ufaransa. Adam alikuwa mtoto wa mtunzi na mpiga kinanda maarufu huko ufaransa, lakini baba yake hakupenda mtoto wake afuate kazi yake ya muziki. [1]
Adolphe alichaguliwa kama profesa katika Chuo cha Muziki cha Paris, Ufaransa. Na kupewa sifa na mwalimu wake wa zamani Daniel Auber na mwalimu wake Adrien Boieldieu kwa jitihada zake katika sanaa ya opera chuoni. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lavignac, p. 3496; and "Notoriété après décès de Léopold-Adrien Adam" Ilihifadhiwa 7 Aprili 2022 kwenye Wayback Machine., France Archives. Retrieved 11 September 2021
- ↑ Forbes, Elizabeth. "Adam, Adolphe (Charles)", ',chuo cha Oxford University Press, 2001. Retrieved 11 September 2021
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adolphe Adam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |