Abdullah bin Faisal Al Saud
Abdullah bin Faisal Al Saud | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 1922 |
Alikufa | 8 Mei 2007 |
Nchi | {{{nchi}}} |
Kazi yake | {{{kazi yake}}} |
Abdullah al-Faisal Al Saud |
---|
House of Saud |
Abdullah al-Faisal ibn Abd al-Aziz ibn Abd al-Rahman Al Saud |
Offspring |
|
Abdullah bin Faisal Al Saud (1922 - 8 Mei 2007) alikuwa mtoto wa kwanza wa Mfalme wa Saudia, Faisal ibn Abdul Aziz, na Sultana, binti Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa wa al-Sudairi familia ya Najd.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Alianza huduma yake ya kiserikali kama Makamu wa Mfalme wa Hejaz mara nyingi akiwa Waziri Msaidizi wa Masuala ya Nje ya Ufalme wakati akiwa na baba yake, Mfalme Faisal, katika safari yake ya kimataifa. Aliwahi kuhudumu pia kama Waziri wa Afya kutoka 1949-1950 na kama Waziri wa Mambo ya Ndani 1951-1959.
Abdullah baadaye alistaafu kutoka siasa ili kuzingatia maslahi ya biashara yake, inayojulikana kwa sana ikiwa ni Al Faisaliah Group ambayo ni miongoni mwa himaya za biashara za Saudia za mseto. Alikuwa Mwenyekiti wa shirika la msaada maarufu la King Faisal Foundation, pia alikuwa mshairi.
Kazi zake.
[hariri | hariri chanzo]Machapisho yake yamehakikiwa sana; hayo ni pamoja na:
- Mahrum: Min Wahye al Hirman
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdullah bin Faisal Al Saud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |