29 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Desemba ni siku ya 363 ya mwaka (ya 364 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 2.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1808 - Andrew Johnson, Rais wa Marekani (1865-1869)
- 1951 - Philip Sang'ka Marmo, mwanasiasa wa Tanzania
- 1957 - Bruce Beutler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2011
- 1975 - Joseph Haule, mwanamuziki wa rap kutoka Tanzania, anayejulikana kama Professor Jay
- 1976 - Danny McBride, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1978 - Bonnah Kaluwa, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1985 - Kassim Bizimana, mchezaji mpira kutoka Burundi
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1170 - Mtakatifu Thomas Becket, askofu Mkatoliki na mfiadini nchini Uingereza.
- 1924 - Carl Spitteler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1919
- 2004 - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Thomas Becket, Mfalme Daudi, Trofimo wa Arles, Liboso wa Beja, Martiniani wa Milano, Marselo wa Konstantinopoli, Ebrolfi, Benedikta Hyon Kyong-nyon na wenzake n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |