1967
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1963 |
1964 |
1965 |
1966 |
1967
| 1968
| 1969
| 1970
| 1971
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1967 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 30 Mei - Emeka Ojukwu anatangazwa kuwa rais wa Biafra.
- Uganda: Rais Milton Obote anawaondoa madarakani watawala wa kijadi akiwemo Kabaka ya Buganda
- 3 Desemba - Cape Town: daktari Christiaan Barnard anafaulu kuhamisha moyo wa mtu kwa mtu mwingine mara ya kwanza katika dunia.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 2 Januari - Tia Carrere, mwigizaji filamu kutoka Hawaii (Marekani)
- 8 Januari - R. Kelly, mwanamuziki kutoka Marekani
- 23 Januari - Naim Süleymanoğlu, mwanariadha kutoka Uturuki
- 10 Februari - Laura Dern
- 7 Mei - Fuya Godwin Kimbita, mwanasiasa wa Tanzania
- 19 Juni - Mia Sara
- 20 Juni - Nicole Kidman
- 23 Juni - Jenista Joakim Mhagama, mwanasiasa wa Tanzania
- 11 Julai - Jhumpa Lahiri, mwandishi kutoka Marekani
- 12 Julai - Adam Johnson, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Julai - Vin Diesel - mwigizaji na mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Julai - Yael Abecassis, mwigizaji wa filamu kutoka Israel
- 27 Julai - Rahul Bose, mwigizaji wa filamu kutoka Uhindi
- 5 Agosti - Kazunori Yamauchi, muundaji wa michezo ya video kutoka Japani
- 13 Agosti - Amélie Nothomb, mwandishi kutoka Ubelgiji
- 21 Agosti - Carrie Anne Moss, mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka Kanada
- 19 Septemba - Alexander Karelin, mwanariadha kutoka Urusi
- 27 Septemba - Debi Derryberry, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 10 Oktoba - Gavin Newsom
- 22 Oktoba - Carlos Mencia, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Oktoba - Julia Roberts
- 11 Desemba - DJ Yella, mwanamuziki wa Marekani
bila tarehe
- Paul Harding, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 5 Februari - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile (alijiua)
- 27 Machi - Jaroslav Heyrovsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959
- 5 Aprili - Hermann Muller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1946
- 8 Mei - Elmer Rice, mwandishi kutoka Marekani
- 31 Mei - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 17 Julai - John Coltrane, mwanamuziki kutoka Marekani
- 21 Julai - Albert Lutuli, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1960
- 22 Julai – Carl Sandburg, mwandishi wa Marekani (na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1940
- 1 Agosti - Richard Kuhn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938
- 18 Septemba - John Douglas Cockcroft, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1951
- 7 Oktoba - Norman Angell, mwandishi wa habari Mwingereza (na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1933
- 9 Oktoba - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 9 Oktoba - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 25 Oktoba - Margaret Ayer Barnes, mwandishi kutoka Marekani
- 7 Novemba - John Garner, Kaimu Rais wa Marekani
- 27 Desemba - Martin Flavin, mwandishi kutoka Marekani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: