Nenda kwa yaliyomo

Unguja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 01:30, 25 Februari 2006 na Kipala (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi karibu na mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Daressalaam. Unguja ni kisiwa kikuu cha Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania.

Unguja ina eneo la takriban 1.658 km² ikiwa na wakazi wapitao 460 000. Mji Mkuu ni Mji wa Zanzibar kwenye pwani la magharibi la kutazama bara.

Ramani ya Unguja