Nenda kwa yaliyomo

Ama Ata Aidoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:10, 11 Aprili 2022 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Ama Ata Aidoo (née Christina Ama Aidoo; amezaliwa 23 Machi 1942) ni mwandishi, mshairi, mtunzi wa tamthilia na msomi wa Ghana.[1]

Alikuwa Waziri wa Elimu chini ya utawala wa Jerry Rawlings. Mnamo mwaka 2000, alianzisha Mbaasem Foundation ili kukuza na kuunga mkono kazi ya waandishi wanawake wa Kiafrika. [2[2][3]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ama Ata Aidoo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.