Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Kaunti ya Lamu
Kaunti
Kisiwa cha Lamu
Lamu County in Kenya.svg
Kaunti ya Lamu katika Kenya
Nchi Kenya
Namba5
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Pwani
Makao MakuuLamu
Miji mingineMkomani, Hindi, Hongwe, Bahari, Witu, Faza, Kiunga, Basuba
GavanaFahim Yasin Twaha
Naibu wa GavanaAbdulhakim Aboud Bwana
SenetaAnwar Loitiptip
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Ruweida Mohamed Obo
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya Lamu
Eneokm2 6 273.1 (sq mi 2 422.1)
Idadi ya watu143,920[1].
Wiani wa idadi ya watu23
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutilamu.go.ke

Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za pwani. Inapakana na Kaunti za Garissa na Tana River. Pia inapakana na Jamuhuri ya Shirikisho la Somalia na Bahari Hindi.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 893,681 katika eneo la km2 6,253.3, msongamano ukiwa hivyo wa watu 23 kwa kilometa mraba[2]..

Makao makuu yako katika Lamu.

Utawala

hariri

Imegawanyika katika maeneo bunge mawili[3]:

Eneo Bunge Kata
Eneo bunge la Lamu Magharibi Shella, Mkomani, Hindi, Mkunumbi, Hongwe, Bahari, Witu
Eneo bunge la Lamu Mashariki Faza, Basuba, Kiunga

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]

hariri
  • Lamu East 22,258
  • Lamu West 121,662

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. www.knbs.or.ke
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  3. http://countytrak.infotrakresearch.com/Lamu-county/
  4. www.knbs.or.ke