Doha (kwa Kiarabu: الدوحة ad-dawḥah) ni mji mkuu wa Qatar.

Jiji la Doha
Nchi Qatar
Majengo ya kisasa mjini Doha

Doha ni mji wa bandari mwambaoni mwa Ghuba ya Uajemi.

Idadi ya watu ni takriban lakhi nne (2005).

Historia

hariri

Doha iliundwa mwaka 1850 kwa jina la Al-Bida (mji mweupe).

Tangu kupatikana kwa mafuta ya petroli mji umejengwa upya ukiwa na nyumba kubwa na za kisasa kabisa.

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Doha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.