Bamburi inapatikana katika tarafa ya Kisauni, Kaskazini-Mashariki mwa Kisiwa cha Mombasa. Ni kata ya kaunti ya Mombasa, eneo bunge la Kisauni nchini Kenya[1].

Fukwe ya Bamburi
Bamburi
Bamburi is located in Kenya
Bamburi
Bamburi

Mahali pa mji wa Bamburi katika Kenya

Majiranukta: 4°0′0″S 39°42′59″E / 4.00000°S 39.71639°E / -4.00000; 39.71639
Nchi Kenya
Kaunti Mombasa
EAT (UTC+3)

Ni kituo cha utalii, hivyo kina hoteli nyingi za uvuo.

Simiti ya Bamburi

hariri

Bamburi ndiko kupatikanako kiwanda cha Simiti ya Bamburi, tawi la Lafarge.

Bustani ya Haller

hariri

Mnamo 1971, Rene Haller aligeuza sehemu ya simiti iliyochanganyika na madini mengine kuwa bustani ya Bustani Haller. [2]

Usafiri

hariri

Bamburi inaweza kufikika kwa njia ya basi au matatu kutoka Kisiwa cha Mombasa, leni ya kuelekea Mtwapa au Malindi[3].

Marejeo

hariri