Bahama
Bahama au Visiwa vya Bahama ni nchi ya visiwani katika bahari ya Atlantiki, kaskazini kwa Kuba na mashariki kwa Florida (Marekani).
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Forward Upward Onward Together | |||||
Wimbo wa taifa: March On, Bahamaland Wimbo wa Kifalme: God Save the Queen | |||||
Mji mkuu | Nassau | ||||
Mji mkubwa nchini | Nassau | ||||
Lugha rasmi | Kiingerza | ||||
Serikali | Commonwealth Charles III wa Uingereza Cornelius A. Smith Philip Davis | ||||
Independence kutoka Uingereza |
10 Julai 1973 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
13,878 km² (ya 160) 28% | ||||
Idadi ya watu - 2022 kadirio - 2018 sensa - Msongamano wa watu |
400,5161 (ya 177) 385,637 25.21/km² (ya 181) | ||||
Fedha | Bahamas dollar (BSD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EST (UTC−5) EDT (UTC−4) | ||||
Intaneti TLD | .bs | ||||
Kodi ya simu | +1-242
- |
Visiwa hivyo 700 na zaidi viko nje ya Bahari ya Karibi lakini mara nyingi huhesabiwa kati ya Visiwa vya Karibi. Visiwa vingine vya funguvisiwa hilo viko chini ya Uingereza hata leo (Turks na Caicos).
Mji mkuu wa Nassau uko kwenye kisiwa cha New Providence.
Inaaminiwa ya kwamba mahali pa kwanza pa Amerika alipofika Kristoforo Kolumbus kilikuwa kisiwa kimoja cha Bahamas, labda San Salvador.
Watu
haririWakazi walio wengi (90.6%) wana asili ya Afrika lakini wanatumia lugha ya Kiingereza. Wazungu ni 4.7%.
Upande wa dini, unaongoza Ukristo wa madhehebu mbalimbali (93%), kuanzia Wabaptisti (35%), Waanglikana (15%), Wakatoliki (14.5%), Wapentekoste (13%), Wasabato (5%), Wamethodisti (4%) n.k.
Tazama pia
haririViungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |