Nenda kwa yaliyomo

Tems

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tems akiwa kwenye kipindi NdaniTV

Temilade Openiyi (alizaliwa 11 Juni 1995),[1][2] anayejulikana zaidi kama Tems, ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi kutoka Nigeria,. Alipata umaarufu baada ya kushirikishwa kwenye wimbo wa Wizkid wa 2020 "Essence", ambao ulishika nafasi ya 9 kwenye chati ya Billboard Hot 100 baada ya kutolewa kwa toleo la remix na Justin Bieber. Wimbo huu ulimletea uteuzi wa Tuzo ya Grammy. Mwaka huohuo, alishirikishwa kwenye wimbo uitwao "Fountains" na rapper wa Kanada Drake.[3]

  1. "The sweet, arresting harmonies of Nigeria's Tems". The FADER (kwa Kiingereza).
  2. "Tems – Grammy Award". Grammy Award (kwa Kiingereza).
  3. "Tems Biography, Songs, Age, Education, and Net Worth". VK (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-01-19.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tems kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.