Nenda kwa yaliyomo

Richard Bona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bona akitumbuiza katika Tamasha la Sochi Jazz nchini Urusi, Agosti 2016

Richard Bona (amezaliwa 28 Oktoba 1967) ni mwanamuziki wa Kimarekani mzaliwa wa Kamerun, mpiga ala nyingi na mwimbaji.[1][2][3]

Bona alihamia Ujerumani akiwa na umri wa miaka 22 kusoma muziki huko Düsseldorf, [4] badae alihamia Ufaransa, ambako aliendeleza masomo yake katika muziki.

Akiwa Ufaransa, alicheza mara kwa mara katika vilabu mbalimbali vya jazz, wakati mwingine akiwa na wachezaji kama vile Manu Dibango, Salif Keita, Jacques Higelin na Didier Lockwood .

Alishikilia uprofesa wa muziki wa jazz katika Chuo Kikuu cha New York . [5]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. "RFI Musique - - Biography - Richard Bona". web.archive.org. 2010-06-09. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-06-09. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  2. "Short Bio". web.archive.org. 2013-07-05. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-05. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  3. "Jazz Faculty: Richard Bona - People - Jazz Studies - NYU Steinhardt". web.archive.org. 2013-07-05. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-05. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  4. "Biography: Richard Bona". RFI music. Oktoba 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Juni 2010. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Jazz Faculty: Richard Bona". New York University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Julai 2013. Iliwekwa mnamo 1 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Bona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.