Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Orodha ya mikoa ya Japani)
Ramani ya mikoa ya Japani

Mikoa ya Japani ni ngazi ya kiutawala chini ya ngazi ya taifa. Japani imegawiwa katika mikoa 47.

Mikoa mitatu ni miji ya Tokyo, Osaka na Kyoto.

Kisiwa cha Hokkaida ni mkoa mmoja tu.

Visiwa vingine vimegawiwa kwa mikoa 43 vingine.

Mikoa vimegawiwa ndani yao katika wilaya. Miji mikubwa zaidi iko chini ya mmkoa moja kwa moja. Wananchi huchagua bunge la mkoa linalosimamia shughuli zinazoamuliwa kwenye ngazi yake na kumchagua Mkuu wa Mkoa.






Orodha ya mikoa

[hariri | hariri chanzo]
Nembo Mkoa Kijapani Makao makuu Kanda Kisiwa Wakazi

~2000

Eneo (km²) Wakazi
/km²
Wilaya Miji ISO
Mkoa wa Aichi 愛知県 Nagoya Chūbu Honshū 7,043,235 5,153.81 1,366 15 88 JP-23
Mkoa wa Akita 秋田県 Akita Tōhoku Honshū 1,189,215 11,612.11 102 8 29 JP-05
Mkoa wa Aomori 青森県 Aomori Tōhoku Honshū 1,475,635 9,606.26 154 8 61 JP-02
Mkoa wa Chiba 千葉県 Chiba Kantō Honshū 5,926,349 5,156.15 1,149 9 80 JP-12
Mkoa wa Ehime 愛媛県 Matsuyama Shikoku Shikoku 1,493,126 5,676.44 263 7 28 JP-38
Mkoa wa Fukui 福井県 Fukui Chūbu Honshū 828,960 4,188.76 198 10 29 JP-18
Mkoa wa Fukuoka 福岡県 Fukuoka Kyūshū Kyūshū 5,015,666 4,971.01 1,009 17 91 JP-40
Mkoa wa Fukushima 福島県 Fukushima Tōhoku Honshū 2,126,998 13,782.54 154 14 85 JP-07
Mkoa wa Gifu 岐阜県 Gifu Chūbu Honshū 2,107,687 10,598.18 199 11 49 JP-21
Mkoa wa Gunma 群馬県 Maebashi Kantō Honshū 2,024,820 6,363.16 318 12 61 JP-10
Mkoa wa Hiroshima 広島県 Hiroshima Chūgoku Honshū 2,878,949 8,476.95 340 10 37 JP-34
Mkoa wa Hokkaidō 北海道 Sapporo Hokkaidō Hokkaidō 5,682,950 83,452.47 68 66 207 JP-01
Mkoa wa Hyogo 兵庫県 Kobe Kansai Honshū 5,550,742 8,392.42 661 13 60 JP-28
Mkoa wa Ibaraki 茨城県 Mito Kantō Honshū 2,985,424 6,095.62 490 13 61 JP-08
Mkoa wa Ishikawa 石川県 Kanazawa Chūbu Honshū 1,180,935 4,185.32 282 7 25 JP-17
Mkoa wa Iwate 岩手県 Morioka Tōhoku Honshū 1,416,198 15,278.51 93 12 46 JP-03
Mkoa wa Kagawa 香川県 Takamatsu Shikoku Shikoku 1,022,843 1,861.70 549 5 17 JP-37
Mkoa wa Kagoshima 鹿児島県 Kagoshima Kyūshū Kyūshū 1,786,214 9,132.42 196 11 49 JP-46
Mkoa wa Kanagawa 神奈川県 Yokohama Kantō Honshū 8,489,932 2,415.42 3,515 7 35 JP-14
Mkoa wa Kochi 高知県 Kochi Shikoku Shikoku 813,980 7,104.70 115 6 35 JP-39
Mkoa wa Kumamoto 熊本県 Kumamoto Kyūshū Kyūshū 1,859,451 6,908.45 269 10 48 JP-43
Mkoa wa Kyoto 京都府 Kyoto Kansai Honshū 2,644,331 4,612.93 573 6 28 JP-26
Mkoa wa Mie 三重県 Tsu Kansai Honshū 1,857,365 5760.72 322 7 29 JP-24
Mkoa wa Miyagi 宮城県 Sendai Tōhoku Honshū 2,365,204 6,861.51 325 10 36 JP-04
Mkoa wa Miyazaki 宮崎県 Miyazaki Kyūshū Kyūshū 1,170,023 6,684.67 175 8 44 JP-45
Mkoa wa Nagano 長野県 Nagano Chūbu Honshū 2,214,409 12,598.48 163 16 120 JP-20
Mkoa wa Nagasaki 長崎県 Nagasaki Kyūshū Kyūshū 1,516,536 4,092.80 371 9 79 JP-42
Mkoa wa Nara 奈良県 Nara Kansai Honshū 1,442,862 3,691.09 391 8 47 JP-29
Mkoa wa Niigata 新潟県 Niigata Chūbu Honshū 2,475,724 12,582.37 197 16 111 JP-15
Mkoa wa Ōita 大分県 Ōita Kyūshū Kyūshū 1,221,128 5,804.24 210 12 58 JP-44
Mkoa wa Okayama 岡山県 Okayama Chūgoku Honshū 1,950,656 7,008.63 278 18 78 JP-33
Mkoa wa Okinawa 沖縄県 Naha Kyūshū Ryūkyū
Islands
1,318,281 2,271.30 580 5 41 JP-47
Mkoa wa Osaka 大阪府 Osaka Kansai Honshū 8,804,806 1,893.18 4,652 5 44 JP-27
Mkoa wa Saga 佐賀県 Saga Kyūshū Kyūshū 876,664 2,439.23 359 8 49 JP-41
Mkoa wa Saitama 埼玉県 Saitama Kantō Honshū 6,938,004 3,767.09 1,827 9 90 JP-11
Mkoa wa Shiga 滋賀県 Otsu Kansai Honshū 1,342,811 4,017.36 334 11 50 JP-25
Mkoa wa Shimane 島根県 Matsue Chūgoku Honshū 761,499 6,707.32 114 12 59 JP-32
Mkoa wa Shizuoka 静岡県 Shizuoka Chūbu Honshū 3,767,427 7,328.61 484 12 74 JP-22
Mkoa wa Tochigi 栃木県 Utsunomiya Kantō Honshū 2,004,787 6,408.28 313 7 33 JP-09
Mkoa wa Tokushima 徳島県 Tokushima Shikoku Shikoku 823,997 4,145.26 199 10 50 JP-36
Tokyo 東京都 Shinjuku Kantō Honshū 12,059,237 2,187.08 5,514 1 39 JP-13
Mkoa wa Tottori 鳥取県 Tottori Chūgoku Honshū 613,229 3,507.19 175 6 39 JP-31
Mkoa wa Toyama 富山県 Toyama Chūbu Honshū 1,120,843 4,247.22 264 6 27 JP-16
Mkoa wa Wakayama 和歌山県 Wakayama Kansai Honshū 1,069,839 4,725.55 226 7 50 JP-30
Mkoa wa Yamagata 山形県 Yamagata Tōhoku Honshū 1,244,040 9,323.34 133 9 44 JP-06
Mkoa wa Yamaguchi 山口県 Yamaguchi Chūgoku Honshū 1,528,107 6,110.76 250 11 56 JP-35
Mkoa wa Yamanashi 山梨県 Kofu Chūbu Honshū 888,170 4,465.37 199 8 64 JP-19

Notes: ¹ as of 2000 — ² km² — ³ per km²

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]