Nenda kwa yaliyomo

Mike Foppen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mike Foppen mwaka 2019

Mike Foppen (alizaliwa 29 Novemba 1996) ni mwanariadha kutoka Uholanzi. Amekuwa katika michuano ya taifa ya Uholanzi mara kadha. Aliwahi kushikilia rekodi ya taifa la Uholanzi ya mita 5000. Anaiwakilisha nchi yake katika michuano ya kimataifa, ikiwemo 2018 European Cross Country Championships, 2019 European Team Championships, 2017 and 2019 Summer Universiade and 2019 European Athletics Indoor Championships.[1][2]

  1. "DPG Media Privacy Gate". myprivacy.dpgmedia.nl. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  2. "EK indoor staat voor grote Nederlandse ploeg vooral in teken van Spelen". NU (kwa Kiholanzi). 2021-02-24. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.