Nenda kwa yaliyomo

Mike Laizer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Michael Lekule Laizer)

Mike Laizer (amezaliwa tar. 24 Oktoba 1948) ni mbunge wa jimbo la Longido katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Mike Laizer". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]