Nenda kwa yaliyomo

Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ibrahim Said Msabaha)

Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha (19 Februari 1951 - 13 Februari 2024) alikuwa mbunge wa jimbo la Kibaha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania[1] akitokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha". 27 Februari 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.