Hinata Miyazawa
Mandhari
Hinata Miyazawa (alizaliwa 28 Novemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Japan pamoja na klabu ya Wanawake ya Manchester United inayoshiriki ligi ya Super League.[1]
Miyazawa alishinda kiatu cha dhahabu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la 2023 kama mchezaji bora wa mashindano.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Summerscales, Robert, "Japan's Hinata Miyazawa Wins Golden Boot At Women's World Cup", Sports Illustrated
- ↑ Bishop, Alex. "Hinata Miyazawa: how Japan's unlikely star took World Cup by storm", The Guardian, 2023-08-10. (en-GB)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hinata Miyazawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |