Nenda kwa yaliyomo

Hannes Alfven

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hannes Alfven

Hannes Olof Gösta Alfvén (30 Mei 19082 Aprili 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza uionishaji wa gesi na umuhimu wake kwa chanzo cha ulimwengu. Mwaka wa 1970, pamoja na Louis Neel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hannes Alfven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.