Nenda kwa yaliyomo

Freightliner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Freightliner Trucks ni mtengenezaji wa malori nchini Marekani.

Ilianzishwa mwaka 1929 kama kitengo cha utengenezaji wa malori cha Consolidated Freightways na ikawa kampuni huru mwaka 1942.

Ilimilikiwa na Daimler Truck kutoka 1981 hadi 2021 na sasa ni sehemu ya Daimler Truck North America[1][2].

Tanbihii

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Sweet 16, by John Latta (Truckers News): December 2006". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 24, 2015. Iliwekwa mnamo Januari 31, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Classic American Heavy Trucks" by Niels Jansen
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Freightliner kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.