Nenda kwa yaliyomo

Athumani Saidi Mwinshehe Janguo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Athumani Saidi Janguo)

Athumani Saidi Mwinshehe Janguo (amezaliwa tar. 5 Desemba 1936) ni mbunge wa jimbo la Kisarawe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

[2]

  1. "Mengi kuhusu Athumani Saidi Mwinshehe Janguo". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. https://peoplepill.com/people/athumani-s-janguo/