Nenda kwa yaliyomo

Mark Schultz (mwanamuziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mark Schultz
Jina la kuzaliwa Mark Schultz
Asili yake Colby, Kansas, Marekani Marekani
Aina ya muziki Kikristo, Nyimbo za Kikristo za Kisasa
Kazi yake Mwanamuziki
Studio Word Entertainment
Tovuti Tovuti Rasmi ya Mark Schultz

Mark Schultz (alizaliwa 16 Septemba 1970) ni mwanamuziki wa Kikristo nchini Marekani.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mark Schultz ni mwimbaji wa muziki ya kisasa ya Kikristo na pia ni mtunzi wa nyimbo. Yeye alikulia katika [[Colby,Kansas na kufuzu kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Kansas na shahada ya digrii katika somo la masoko. Alipokuwa Chuo Kikuu.Mark alikuwa mwanachama wa Lambda Chi Alpha. Alihamia Nashville,Tennessee alipohudumia miaka minane kama kiongozi wa kundi la vijana katika Kanisa la First Presbyterian(PCUSA) hapo Nashville. Amechaguliwa kuwa mshindani katika tuzo za Dove huku akishinda yake ya kwanza katika Tuzo za Dove za mwaka wa 2006 ambapo CD/DVD yake Mark Schultz Live: A Night of Stories & Songs ilishinda tuzo ya Muziki Mrefu katika Video ya Mwaka. Yeye sasa anaishi katika eneo la Chapel Hill, North Carolina.

Marko Schultz na wasanii mahiri ,Point of Grace walizuru pamoja kwa mara ya kwanza katika ziara ya miji 30 .Ziara hii iliitwa Come Alive mnamo Septemba hadi Novemba 2009. Mark Schultz alicheza na kuimba nyimbo mpya kutoka albamu yake ya studio ya tano,Come Alive, na Point of Grace wataimba nyimbo kutoka albamu yao iliyosifiwa,How You Live. [1]

Mark avuka Marekani

[hariri | hariri chanzo]

Hapo 6 Mei 2007, Mark Schultz alianza kuendesha baiskeli kutoka California hadi Maine akipanga kusimama njiani na kuimba katika matamasha na kushiriki katika matukio maalum. [2] Hapo awali, ziara ilipangwa kufikia mwisho katika eneo la New Hampshire, lakini ziara ilimalizika tarehe 8 Julai 2007 katika Bangor, Maine.

Kulingana na Marko Schultz, motisha ya kufanya jambo hilo la kuvuka Amerika kwa baisikeli ilitoka kwa mke wake ,Kate Celauro, alipozuru vituo vya mayatima nchini Mexico. Katika mwaka wa 2006, wakaenda katika safari pamoja [3],shirika lisilofanya biashara au shughuli ya kifaida lilioanzishwa na Family Christian Stores. Madhumuni ya safari hii ilikuwa kusaidia wajane na mayatima katika dhiki kupata mahitaji yao. Mark ,aliyekuwa amechukuliwa na familia nyingine akiwa mtoto na hakuishi na wazazi wake waliomzaa,alijihusisha sana katika kazi hii na amejihusisha na msaada kkwa The James Fund.

Bibliografia

[hariri | hariri chanzo]
  • Mark Schultz; J.L. Bibb (2005). Stories Behind The Songs.

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Albamu za studio

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Maelezo ya albamu # ya juu kabisa kwenye chati
Billboard 200 Albamu Bora za Kikristo Marekani Chati ya Heatseekers Albamu Bora za Mtandao
2000 Mark Schultz
  • Ilitolewa: 28 Machi 2000
  • Studio: Word Entertainment
180 1 6 -
2001 Song Cinema
  • Ilitolewa: 17 Oktoba 2001
  • Studio: Word Entertainment
- 15 11 -
2003 Stories & Songs
  • Ilitolewa: 14 Oktoba 2003
  • Studio: Word Entertainment
- 12 11 -
2006 Broken & Beautiful
  • Ilitolewa: 26 Septemba 2006
  • Studio : Word Entertainment
79 1 - 79
2009 Come Alive 62 1 - -
"—" inaashiria albamu ambayo haikutokea kwenye chati.

Albamu zilizorekodiwa katika matukio

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Albamu
2005 Mark Schultz Live: A Night of Stories and Songs
  • Albamu iliyorekodiwa kwa tukio
  • Ilitolewa : 27 Septemba 2005

Video ya Muziki

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Video Albamu Mwandalizi
2001 "I Have Been There" Song Cinema -
2003 "Letters From War" Stories & Songs Marc Dobiecki
2006 "Everything to Me" Broken & Beautiful
Mwaka Wimbo # ya juu kwenye chati Albamu
Nyimbo Bora za Kisasa za Watu Wazima Nyimbo za Kikristo American Forces Network 2009
50
Kristo
2000
50
Kristo
2006
5
Kristo
2001 "He's My Son" 22 - - - - - Mark Schultz
"I Have Been There" - - - - - - Song Cinema
2003 "Letters From War" - - 1 - - - Stories & Songs
2006 "I Am" - 3 - - 33 4 Live: A Night of Stories & Songs
"Broken & Beautiful" - 16 - - - - Broken & Beautiful
"Everything to Me" - - - - - -
2009 "Live Like You're Loved" - - - - - - Come Alive
"He Is" - 14 - 31 - -
"—" inaashiria nyimbo ambzo hazikutokea kwenye chati

Kompilesheni

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Albamu
2007 Broken & Beautiful: Expanded Edition
  • Albamu ya kompilesheni
  • Ilitolewa: 25 Septemba 2007
Mwaka Tuzo Jamii Matokeo
2005 Tuzo za Dove Muziki Mrefu Video ya Mwaka Alishinda Ilihifadhiwa 2 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]