Dondoo
Mandhari
Dondoo | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dondoo-nyika
(Raphicerus campestris) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 3:
|
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dondoo, dondoro au isha ni wanyamapori wadogo wa jenasi Raphicerus katika familia Bovidae wenye masikio makubwa. Wana rangi ya mchanga inayoelekea nyekundu na mara nyingi madoa au milima nyeupe. Madume wana pembe fupi na laini. Wanatokea Afrika ya Kusini na ya Mashariki katika maeneo mbalimbali kutoka ukanda wa jangwa mpaka vilima vyenye msitu wazi. Wanyama hawa hula majani, vitawi, mizizi na viazi.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Raphicerus campestris, Dondoo-nyika au Isha (Steenbok)
- Raphicerus c. campestris, Dondoo-nyika kusi
- Raphicerus c. neumanni, Dondoo-nyika mashariki
- Raphicerus melanotis, Dondoo Kusi (Cape Grysbok)
- Raphicerus sharpei, Dondoo wa Sharpe (Sharpe's Grysbok)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Isha
-
Dondoo kusi
-
Dondoo wa Sharpe
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dondoo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.