Mto Sibiti
Mandhari
Mto Sibiti (pia: Sibili) una urefu wa kilometa 75 ukiunganisha Ziwa Eyasi na Ziwa Kitangiri, ambayo yote mawili yanapatikana kusini kwa Hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Ni mpaka kati ya mikoa ya Singida na Simiyu.
Tawimto ni moja, mto Semu, lakini katika beseni hilohilo kuna mito mingine kama ifuatavyo:
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- National Geographic. African Adventure Atlas. Pg 28-31
3°49′S 34°46′E / 3.817°S 34.767°E
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Sibiti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |