Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Koun-Fao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
auto
Wilaya ya Koun-Fao
Mahali paWilaya ya Koun-Fao
Mahali paWilaya ya Koun-Fao
Eneo la Wilaya ya Koun-Fao.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Zanzan
Mkoa Gontougo
Serikali[1]
 - Prefect Yolande Djirabou
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 116,230
GMT (UTC+0)

Wilaya ya Koun-Fao (kwa Kifaransa: département de Koun-Fao) ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Gontougo ulioko Kaskazini mashariki mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 116,230.

Makao makuu ya eneo hilo ni Koun-Fao.

Wilaya ya Koun-Fao sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

Marejeo

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.