Waogiek
Waogiek (kwa jina lingine Waokiek au Waakiek, ingawa jina Akiek hutambulisha hasa tawi mojawapo la kabila hilo; waliitwa pia Wandorobo -tar. chini-), ni kabila la Waniloti linalopatikana kaskazini magharibi mwa Tanzania, kusini mwa Kenya (kwenye Msitu wa Mau), na magharibi mwa Kenya (kwenye msitu wa Mlima Elgon).
Mnamo mwaka wa 2000 idadi ya Waogiek ilikadiriwa kuwa 36,869, ingawa waongeaji wa lugha ya Kiakiek, mojawapo ya lugha za Kiniloti, walibaki kuwa takribani watu 500 tu [1]. Waogiek wengi wamebadilisha lugha zao hadi zile za wakazi wanaowazunguka: Waakiek kaskazini mwa Tanzania kwa sasa wanaongea lugha ya Kimaasai nao Waakiek walio Kinare,Kenya, wanaongea lugha ya Kikikuyu.
Waogiek ni baadhi ya kundi la makabila walio wawindaji-wakusanyaji nchini Kenya na Tanzania ambao kwao jina Dorobo or Ndorobo (jina lenye asili ya Kimaasai ambalo kwa sasa linachukuliwa kama tusi) limetumika.
Mizozo ya mashamba
Waogiek mara nyingi wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali ya Kenya kwa kutoshughulikiwa matakwa yao, haswa kwa kunyang'anywa mashamba yao kwa njia haramu.[2]
Tanbihi
- ↑ [1]
- ↑ Kimaiyo, Towett J. (2004). Ogiek Land Cases and Historical Injustices — 1902 – 2004. Nakuru, Kenya: Ogiek Welfare Council. uk. 127 pages + appendices. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-29. Iliwekwa mnamo 2009-12-30.
{{cite book}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) (Maandishi timilifu kuhusu kitabu kwenye kiongu.)
Marejeo
- Heine, Bernd (1973) 'Vokabulare ostafrikanischer Restsprachen', Afrika und Übersee , 57, 1, pp. 38–49.
- Kratz, Corinne A. (1981) "Are the Okiek really Masai? or Kipsigis? or Kikuyu?" Cahiers d'Études Africaines. Vol. 79 XX:3, pp. 355–68.
- Kratz, Corinne A. (1986) 'Ethnic interaction, economic diversification and language use: a report on research with Kaplelach and Kipchornwonek Okiek', Sprache und Geschichte in Afrika , 7, 189—226.
- Kratz, Corinne A. (1989) "Okiek Potters and their Wares." In Kenyan Pots and Potters. Edited by J. Barbour and S. Wandibba. Nairobi: Oxford University Press.
- Kratz, Corinne A. (1994) Affecting Performance: Meaning, Movement and Experience in Okiek Women's Initiation. Washington DC: Smithsonian Institution Press.
- Kratz, Corinne A. (1999) "Okiek of Kenya." In Foraging Peoples: An Encyclopedia of Contemporary Hunter-Gatherers. Edited by Richard Lee and Richard Daly. Cambridge: Cambridge University Press, pp. 220–224.
- Kratz, Corinne A. (2000)"Gender, Ethnicity, and Social Aesthetics in Maasai and Okiek Beadwork." In Rethinking Pastoralism in Africa: Gender, Culture, and the Myth of the Patriarchal Pastoralist. Edited by Dorothy Hodgson. Oxford: James Currey Publisher, pp. 43–71.
- Kratz, Corinne A. (2001) "Conversations and Lives." In African Words, African Voices: Critical Practices in Oral History. Edited by Luise White, Stephan Miescher, and David William Cohen. Bloomington: Indiana University Press, pp. 127–161.
- Kratz, Corinne A. (2002) The Ones That Are Wanted: Communication and the Politics of Representation in a Photographic Exhibition. Berkeley: University of California Press.
- Rottland, Franz (1982) Die Südnilotischen Sprachen: Beschreibung, Vergelichung und Rekonstruktion (Kölner Beiträge zur Afrikanistik vol. 7). Berlin: Dietrich Reimer. (esp. pp. 26, 138-139)
Viungo vya nje
- The Ogiek People Ilihifadhiwa 24 Julai 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waogiek kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waogiek kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |