Nenda kwa yaliyomo

Ridle Baku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Ridle Baku

Bote Ridle Nzuzi Baku (alizaliwa 8 Aprili 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama beki au kiungo katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo

  1. "Bote Ridle Nzuzi Baku | VfL Wolfsburg | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ridle Baku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.