Nenda kwa yaliyomo

Max Carver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Max Carver
Max Carver

Max Carver (alizaliwa 1 Agosti 1988) ni mwigizaji wa filamu ambaye ni Mmarekani.

Anajulikana kwa kuwepo katika mfululizo wa televisheni wa ABC unaoitwa Desperate Housewives, na akitumia jina la Aiden katika filamu ya Teen Wolf. Alionekana katika msimu wa kwanza wa mfululizo wa HBO unaoitwa The Leftovers.

Pia ana kaka yake ambaye ni pacha yake aitwaye Charlie Carver ambaye ameonekana katika maonyesho ya mdogo wake yote matatu.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Carver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.