Kisiwa cha Sumba
Mandhari
Kisiwa cha Sumba ni kisiwa cha kaunti ya Busia, magharibi mwa Kenya.
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Sumba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |